Posted by Williammalecela.com on Wednesday, December 17, 2014
 |
| @ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- Hili Taifa ni lazima wote tumerogwa na mganga wetu amepotea kwenye ndege ya Shirika la ndege la Malasyia Air, yaani hatujamaliza ya Escrow tayari wameshazuka wajinga wengine wa Shirika la Petroli la Taifa TPDC eti wanadai walipwe hii mishahara kwenye jedwali I mean what went wrong na this society kwaba hakuna anayejali Taifa wala wananchi ila kila mtu anajali gademu tumbo lake tu! Tizama hii mishahara hivi kweli hawa watu ni wazalendo kweli wa hili Taifa? Wao walipwe mahela yote hayo na wengine je kwenye mashirika ya Umma iweje? Rais angewaondoa na hawa wote walioshauri kulipwa hii mishahara maana ni matusi makubwa sana kwa wananchi wa Tanzania, kwa kweli hili Taifa sio bure tumerogwa U know!! - Le Mutuz |
0 comments:
Post a Comment