Monday, December 22, 2014

86crlsDecember 02 ndiyo siku rasmi ya kuanzishwa kwa kituo cha Clouds Fm ambapo kwa mwaka huu kimetimiza miaka 15,taarifa ilitoka kuwa hii si Birthday ya siku moja bali ni Birthday ya mwezi mzima huu December.

Kwa wakazi wa 88.5 Dar es salaam leo walipata nafasi ya kukusanyika pamoja kwenye parking za magari za Mliman City kisha kufurahi pamoja na kumshukuru Mungu kwa miaka hii 15 na kujiandaa kuipokea sikukuu ya Christmas.
Party hii ilipewa jina la Christmas Carlos Night ambayo iliandaliwa na Clouds ikishirikiana na Mliman City,kwaya mbalimbali zilijumuika na kisha kutoa burudani kwa watu waliofika kwenye party hii ambayo haikua na kiingilio.
3crls
4crls
7crls

8crls
10crls
14crls
17crls
19crls
26crls
30crls
31crls
32crls
34crls
42crls
45crls
46crls
64crls
66crls
67crls
62crls
61crls
60crls
68crls
56crls
93crls
91crls
82crls

0 comments:

Post a Comment