Ulitishaaaa sanaa yani nilivyokuwa naona kampeni za Instagram watu wanavyo chonga, nikasema let me go and see kama watu wataenda, ila duuu watu walikua wengi (Un expected) salute sana ningekua mie ninge hairisha na party yenyewe kabisa, aise una moyo wa chuma wewee, nothing is impossible (japo umeme ulizingua ila Kiingilio changu kilienda kwa haki kabisa) alafu ule umeme ulipangwa kuharibu show ila i enjoyed #FuckDamnHaters #BigUp

ReplyDeletesipo bongo ila next time sisitiza theme ya mavazi," All white " thats all
ReplyDelete