LEMUTUZ

Friday, December 5, 2014

PICHA BUSTA RHYMES AANGUKIA MASHABIKI AKIWA JUKWAANI

Posted by Williammalecela.com on Friday, December 05, 2014
BustaRhymes-Cut
Rapper Busta Rhymes ameanguka akiwa jukwani kwenye show ya muziki mjini New York. Busta alikuwa msanii aliyealikwa kwenye show hio iliyofanyika Webster Hall alikuwa ameinama
kusalimia mashabiki na ghafla akapoteza balansi na kuangukia watu, alivyoinuka alikuwa na damu kichwani na usoni huku jeraha likionekana kuhitaji kushonwa.
Baada ya dakika checha alirudi jukwanii na kuendelea na show.>>
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT