Posted by Williammalecela.com on Saturday, December 13, 2014
Msanii Diamond kutoka hapa Tanzania amekwenda nchini kenya katika jiji la Mombasa ambapo hajasema huko kaenda kufanya nin lakin ni show amekwenda kufanya hizi ni baadhi ya picha zake akiwa Mombasa
Kula maisha baba. Safi sana na mafanikio yako cause mama yako yupo radhi na wewe. Unampa faraja hujamtupa tofauti na wasanii wengine wakipata wazazi wao huwasahau na kula ujana na marafik tu. Keep it up diamond.
ReplyDelete