Posted by Williammalecela.com on Thursday, December 18, 2014
Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ameshawasili 256 Uganda kumpa support Zari Hassan a.k.aZari The Bossladykwenye event yake ‘All White CIROCParty’ itakayofanyika Des 18 Kampala.
Diamond akifanya mahojiano na waandishi wa habari baada ya kuwasili Uganda .
.
.
Diamond Platnumz akiwa na Zari baada ya kumaliza mahojiano na waandishi.
.
.
.
Zari na Diamond wakihojiwa na mwaandishi kutoka NTV.
.
.
.
.
Hili ndio gari lililombeba Diamond Platnumz kutoka Airport kuelekea Hoteli .
0 comments:
Post a Comment