Sunday, December 21, 2014

Pati ya Zari ‘AllWhite CirocParty’ iliyofanyika usiku wa kuamkia Decemba 19 mjini Kampala imeisha saa 11 alfajiri, Kwa mjibu Wa wahusika wa club@guvnoruganda wanasema ukumbi wao haujawahi kujaza watu kama ilivyokuwa kwenye party hii, licha ya watu kujaa ndani bado palikuwa na watu walioshindwa kuingia na kubaki nje .
    >>

0 comments:

Post a Comment