Tuesday, December 23, 2014




JK amempongeza Diamond kwa kutwaa tuzo tatu za muziki za Channel O huku akimpongezza pia Idris kushinda BBA bila kufanya mambo machafu mjengoni.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa msanii Naseeb Abdul “Diamond” wakati akimuonesha moja ya tuzo kati ya tuzo tano za muziki za kimataifa alizoshinda mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014.

kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Katika Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko.

0 comments:

Post a Comment