Saturday, December 20, 2014

Mwigizaji wa filamu za hapa Bongo, Riyama Ally “Rihama”amefunguka kwajinsi anvyomkubali mwigizaji chipukizi anaefahamika kwa jina la Amina.Akizungumza baada ya kukamilisha filamu mpya iitwayo DAMWANI ambayo Riyama na Amina wameshiriki, Riyama aliyasema haya mtandaoni baada ya kuweka picha yao wakiwa pamoja (hapo juu)
"Amina aka damwani -kiraka mimi ndio hupenda kumuita hivo, kiraka kwani ana uwezo wakumudu nafasi yoyote katika sanaa nimsanii mchanga namuombea kwa mungu ndoto zake ziwe zenye kutimia kwa wakati amuombao mungu wake amina tumetoka kumaliza kaziyake DAMWANI ninzuri sana inafundisha inaelimisha inafurahisha inasikitisha nimaisha yakawaida ila Dah nimejikuta nalia kipindi yeye anaigiza duh asante mungu kwa kutuongozea warithi wa kuweza kulisukuma gurudumu hili la sanaa karibu sana AMINA"

Aliendelea kusema;
"Nilikuahidi kua sikumoja nitafanya kitu juu yako naamini umekiona machozi yako yabaraka nimeyaona dah asante mungu hukunichukua mpaka nimemetimiza ahadiyangu ya kumshika mkono amina wangu nakupenda sana amina kila lakheri mama mwanzo mzuri na amina watanzania wakiona hii kazi watakuelewa kwani naamini game bilaya nyota inawezekana ukiritimba tu umeizunguka tasnia yetu lakini iposiku ukweli utafahamika kua sanaa sio nyota bali ni uwezo na ubora wakazi .........!!!"

0 comments:

Post a Comment