Msanii wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na AT, Uingereza.
MSANII wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kwamba shavu la shoo alilopata la Bara la Ulaya limetokana na kukata kwake kiuno hivyo mashabiki kuvutiwa nayeAkizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili
akiwa barani humo anakoendelea kufanya shoo, Shilole alisema juhudi zake binafsi ndizo zilizompa shoo huko na hakutafutiwa na mtu yeyote pia anamshukuru Mungu kwani ameweza kuliteka soko la nje.
“Kiuno changu na muziki ninaoimba ndiyo umenifanya nikapata shoo za Ulaya na juhudi zangu pia hapa nina shoo nne ambapo nitarudi Bongo Desemba baada ya kuzimaliza,” alisema Shilole.
0 comments:
Post a Comment