LEMUTUZ

Monday, December 8, 2014

SNURA WA MAJANGA AKWAA SKENDO YA UTAPELI!

Posted by Williammalecela.com on Monday, December 08, 2014
Msanii wa filamu na muziki Bongo, Snura Mushi.MSANII wa filamu na muziki Bongo, Snura Mushi amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutumika kwa utapeli kupitia namba yake ya simu.Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu, Snura alisema aliacha kutumia namba ya awali kwa muda wa miezi miwili baada ya kupotea ambapo hivi
karibuni ndipo alipoanza kupata malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali kwamba anawaomba fedha kwa madai kwamba mama yake anaumwa. 
“Kuna mtu sijui alifanyaje mpaka akawa anaitumia hiyo namba kibaya zaidi anatapeli watu hela na kujifanya ni mimi, imeniuma sana jamani mimi sijamuomba mtu yeyote hela na hiyo namba siitumii tena kuweni makini na huyo tapeli,” alisema Snura.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT