![]() |
| - Again baada ya ujumbe wa jana hatimaye Kaka aliyetuma hayo matusi juu jana alituma ujumbe mwingine kuonyesha kwamba amekubali kujirudi na kwamba he was wrong kutumia hiyo lugha, lakini bado anadai Dada yake was right kuwakataza watoto kuja kumzika Baba yao mzazi na leo nataka kuifunga hii topic with some peace of my mind. 1. Kwanza kuna wanaodai it is none of my business:- hahaha ninasema hivi it is my business Marehemu Godfrey alikuwa ni my friend na alipokuwa hai yeye na huyu mkewe na watoto walikuwa siku zote wanapokuja New York walikuwa wakifikia nyumbani kwangu, na besides Marehemu akiwa hai mara kwa mara alikuwa akipitia ofisini kwangu HAPA BONGO tunakaa chini na kuongea mambo mengi sana ya maisha na infact wiki moja kabla hajaaaga Dunia alinipigia simu kuniarifu kwamba alikuwa na mpango wa kwenda India kwa matibabu zaidi, sasa kama kwa haya yote niliyoyasema here hayanipi authority ya kuongelea watoto wake kunyimwa haki ya kuja kumzika then naomba radhi kwamba nina makosa lakini otherwise ninaamini nina haki tena 120% kuzungumzia this issue. 2. Tatizo kubwa sana huko Majuu ni kwamba hakuna mtu wa kumwambia ukweli huyu Mama kwamba alichofanya ni UNYAMA mnaishia kuongea wenyewe pembeni pembeni hapana ninasema hivi huyu Mama is wrong na amemkosea mpaka Mungu, kwa sababu Marehemu ndiye aliyewazaa naye hawa watoto na Marehemu alipokuwa hai na toka siku watoto walipozaliwa alikuwa nao bega kwa bega hakuwahi kutowatunza akiwa anaishi nao huko USA, lakini kipindi alipoamua kurudi nyumbani mambo yakabadilika na sababu wala sio siri kwamba uwezo wake kipesa hapa nyumbani haukuwa mzuri sana ndio maana alitakiwa kusamehewa kama ni DHAMBI kushindwa kuwasaidia watoto wake akiwa nyumbani nilidhani akili kubwa zitamuelewa kwa kuzingatia maisha yake ya zamani kabla hajarudi bongo na mimi ninasema knowing him as I did ni kwamba angekuwa na uwezo hapa bongo bado angekuwa anatuma pesa kusaidia watoto wake lakini hakufanikiwa kuwa na uwezo mkubwa kama aliokuwa nao alipokuwa huko USA ndio maana akashindwa kwa hiyo hoja kwamba ni sawa kuzuia watoto wake wasije kumzika kwa sababu hakuwa akiwatunza akiwa nyumbani ni purely foolish na ni kitendo kinachoweza kufanywa na foolish people with foolish friends. 3. Marehemu katika uhai wake na alipokuwa anaishi USA hebu kuweni wakweli amewasaidia watu wangapi huko Boston ambao mpaka leo mna maisha kwa sababu ya msaada wake? Kweli in your right mind unaweza kusema Marehemu alishindwa kuwasaidia watoto wake akiwa bongo kwa makusudi baada ya misaada yote aliyowahi kuitoa akiwa hai na anaishi huko USA? I mean binafsi ninasema kwamba umeachana na Mume wako umeshaolewa na Mume mwingine na bado una hasira za kuchana na Mume wa kwanza mpaka kuwakataza watoto wasiende kumzika baba yao for sure una matatizo makubwa sana kisaikolojia na inanipa maswali mazito sana kwamba kwenye kucahana kwenu nani alikuwa na makosa makubwa kuliko mwenziwe kwa sababu kama una uwezo wa kukosa utu kabisa mpaka kuzuuia watoto wasimzike baba yao wewe ni binadam mwenye roho ya namna gani? Nataka nimuulize aliyekuoa sasa hivi exactly how does he feels after this na kwenda na mke wake mbele ya public ambao wote wanajua wazi this ishu? 3. Halafu nina swali kwa Wanaume wengi wabongo mlioko huko USA hebu muangalie mke wako usoni uniambie kwamba hawezi kukufanyia something like this? Na kama jawabu ni anaweza je wewe unaweza kumfanyia hivyo? Kama huwezi kwa nini upo naye? Jamani hakuna asiyejua ugumu wa maisha ya USA lakini no way kuwa sababu ya kukufanya uwe kama mnyama, sikatai haya mambo ni moja ya ustaarabu wa Wazungu lakini sababu zipo wazi Wazungu wapo hivyo kwa sababu wanapozaliwa huwa wanatunzwa na wati wasiowahusu kwa sababu wazazi wao wanakuwa busy kwenda kazini so maisha yao mengi wanayatumia Day Care so sio rahisi kuwa na uchungu na Wazazi wao au hata ndugu zao, lakini sisi wabongo hatukulelewa vile sasa binadam unaitoa wapi roho ya kinyama kama hii? Halafu inashangaza kwamba katika miaka yako ya ndoa ulikuwa unaishi na mtu mwenye roho nzito kama hii it is sad, na ninasema hivi wazungu wanasema nionyeshe marafiki zako nitakuambia wewe ni nani, so huyu Mama hata marafiki zake wa karibu for sure ni kama yeye tu wote wajinga with no brain, Kumnyima mtoto kumzika baba yake kwa sababu ya tofauti zenu alipokuwa hai kweli inaweza kukupa raha mpaka ukalala usingizi na mpaka kubishana kwamba una haki ya kufanya hivyo kwa kweli lazima ubongo wako uwe umekufa ingawa upo hai, sasa imegine bado ni mke wa mwanaume mwingine ndio ninaita maajabu ya Dunia U know. People ninasema hivi wale wote wenye roho kama ya huyu mama poleni sana kuzikwa na watoto au kutozikwa na watoto haibadili wala kuongeza anything zaidi tu ya utu na utamaduni wetu wabongo, kama unaamini kwamba kwa kufikiri tofauti na kuamini kwamba kuwanyima watoto haki yao ya kimsingi ni sawa basi kuishi kwako Majuu hakujakusaidia chochote, Wananchi wengi huku nyumbani ambao hawajawahi kufika huko Majuu huwa wanaamini kwamba wote walioenda huko wanaishia kuwa na akili kubwa sasa kweli hii ndio mnaweza kuiita akili kubwa? hahahahahaha!! - Le Mutuz Nation The King Of All Bongo Social Media Network!! |
Wednesday, December 10, 2014
Posted by Williammalecela.com on Wednesday, December 10, 2014
3 comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


well said le mutuz.watakuelewa tu.Huyo baba aliyetukana mbona matusi yote kawatukana wazazi wake?lakini anaonekana tu kichwani kumejaa nnya.wape hao le mutuz wameshindwa maisha hasira wanakuletea wewe.umeandika ukweli mtupu.na ukweli unaumaaaaaaaaa.naona anaugulia huyo kubwa jinga.
ReplyDeleteMatusi ya kaka mtu,yanaonyesha hiyo familia imejaa mamburura.Mungu awasaidie hao watoto wasiwe wamechukua character za upande wa mama.It is not acceptable by all means na yeyote ambaye ata side na huyo mama au kaka 'mburula',inabidi akapimwe akili.Kaka mtu na Dada yake wote inabidi wapelekwe Milembe ASAP
ReplyDeleteFor this,I love u even more le mutuz.hakuna tusi jipya hapo,anaonekana mshamba tu.by the way hanithi yeye anayevaaaa Hereni.waambie hao ukweli Najua watakusoma tu.big up le mutuz!
ReplyDelete