Monday, December 8, 2014

@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- Leo tumemzika Rafiki yangu Marehemu Godfrey Rupia aliyefariki majuzi na tumemzika kwenye Makaburi ya Kinondoni mchana huu, alikuwa ni Rafiki yangu wa karibu sana na infact aliwahi kunisaidia nilipokwenda USA kwenye kutafuta maisha yeye alikuwa ameshatangulia kwa hiyo alikuwa akizijua njia nyingi sana za kupitia. Amekuwa akiugua kwa muda kidogo sasa Kansa ya Tumbo na majuzi Mungu akaamua atangulie kwenye haki,
kazi ya Mungu haina makosa. Binafsi tumekuwa karibu sana toka tukiwa mbelezz na mpaka tuliporudi hapa nyumbani, mara kwa mara amekuwa akipitia ofisini kwangu anapokuwa mjini na tulikuwa tukikaa na kuongea mambo mengi ya maendeleo na mara ya mwisho alinipigia Wiki Mbili zilizopita akinitaarifu kwamba huenda angeenda India kwa matibabu zaidi, lakini Mungu akaamua vingine namuombea Mungu amuweke pema peponi. HOWEVER:- Nimeshitushwa sana na uamuzi wa mke wake wa zamani kukataa kuwaruhusu watoto wake wawili walioko Marekani na Mama yako huyo kuja kumzika Baba yao mzazi, I mean kuja kumzika na kumuona baba yao mzazi mara kwa mara ya mwisho kabla hajawekwa kwenye nyumba yake ya milele. Ni makosa gani Marehemu alimfanyia mama huyo ambaye ni Mtanzania kama sisi wengine wote mpaka kufikia kuwafanyia unyama wa namna hiyo watoto wake ambao ni Damu yake kabisa? Wananchi wa Boston walipo watoto hao wananiambia juhudi zao zote za kumuomba awaruhusu watoto kuja kumzika baba yao ziligongwa mwamba pamoja na kutaka kwao kujitolea kuwalipia nauli watoto hao kuja tu kumzika baba yao na kurudi, lakini Mama huyo kutoka Kabila la Kinyakyusa alikataa kata kata na mpaka Ndugu wa Marehemu walipokuwa wanaondoka jana kuwahi mazishi wakaishia kuja bila ya watoto wake Marehemu. It is sad na inasikitisha sana kwamba hapa Duniani leo Mwaka 2014 bado tuna binadam wenye roho za kinyama kama hiii unawezaje kuwanyima watoto haki ya kwenda kumzika baba yao? Ok kwa kuwafanyia unyama kama huu huyu mama amefaidika na nini? na Watoto amewasaidia nini hasa? I mean nashindwa kuamini kwamba hata mume wake wa sasa hivi ameshindwa kuweka mguu chini na kumlazimisha mke wake aruhusu watoto wa Mume mwenziwe waje kumzika baba yao? What kind of man is that? Sasa naomba kumuuliza swali huyu Mwanaume hivi kweli anaamini kwamba aliyofanyiwa mwenziwe ambaye ameshakufa tayari hatafanyiwa na yeye tena akiwa hai? Ohhh please Bosotn people nawaomba muweke mguu chini mtengeni huyu mama stay away from her imagine kwamba huyu mama ni rafiki wa mke wako atamfundisha nini mke wako? This is horrible and foolish, unawakomoa watoto kwa sababu ya matatizo yako na Marehemu halafu imagine kuna Mwanaume anamuita huyu mkewe? Ohhh my God, it is wrong na it is very unfair kwa watoto, please my people huko Boston mtengeni huyu mama kaeni naye mbali cause sio mtu huyu and yes I saidi it sio binadam wa kwaida, mtu ambaye hawezi kuelewa kwamba baada ya kuzikwa leo watoto hawatamuona baba yao tena? Kuna mtu mzima na akili zake anaweza bado kuwa rafiki na huyu Mama Mungu anipishilie mbali sana!! - Le Big Show 


  • Aluiya Herode Kiukwel huyo mama amekosea hata kama marehemu aliwah kumtenda ktu kbayaa.So sad jaman,kwahyo hko kzaz cha huyo marehemu kmeishia huko na huyo mama hashndw kuwabadlsha majna hao watoto
  • Maryam Washokera Its very wrong,shida zake na mumewe watoto haziwahusu kabisa amefanya makosa makubwa Sana,but Allah ndie ajuae zaidi
    18 mins · 
  • Eva Kavishe R I P Godfray Rupia
  • Emmy Mtove AMEKOSEA SANA MWANAMKE HUYO JAMAN HAKUTENDEA HAKI WATT WAKE
    2 mins ·
  • Saimon Frank Le Mutuz Baharia,wanawake huwa wanasifiwa kwa uwezo Wa kufikiri ila kuna wakati huwa wanaingiwa na mapepo sana.Mungu awasamehe kwa makosa wanayoyafanya wakiona madogo ila yanawatia DOA,Sasa amefanya hivyo yeye ni mkamilifu na ataishi milele kwani,Akili changanya na yako hapo lazima mashoga au wabiga domo lazima wameshiriki kushauri ujinga
    2 mins ·
  • Emmy Mtove R.I.P


    • Jacque Temu Wanawake jamani tufanye yoooote ila sio tofauti zetu na wazazi wenzetu tuwahusishe watoto mbaya sana na sana ila huyo mama soon atamuona Mungu alivyo na maajabu hao watoto hata awaeleze nini iko siku atakuja kulia machozi kaburin kwa baba yao hao hao watoto watamuonyesha rangi zote na atatamani baba yao angekuwepo angalau aseme japo neno au asikie japo sauti na haitowezekana daima.baba hata awe kichaa ana umuhimu sana kwa kila family

0 comments:

Post a Comment