Wednesday, December 10, 2014

@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- Mpaka leo ninapoandika huu ujumbe bado sijaamua ni kambi gani ya Urais ninaiunga mkono ndani ya Chama changu CCM, sijawahi kugusa kabisa hii topic ya Urais kwa sababu nilikuwa busy sana na kufutailia Bunge la Katiba na ishu nzima ya Rasimu. Sasa ninaanza rasmi kufuatilia hizi kambi ili nione ni ipi unakubaliana na mawazo yangu na niweze kuipa my 100%  SUPPORT nikiwa na maana kwamba nikisharidhika na kambi hiyo NITATANGAZA RASMI UAMUZI WANGU kwenye National Media na nitaanza kazi ya kupiga kampeni hasa wa wafuasi wangu wapatao 100,000 kwenye Social Media yaani between my Blog, 2 Facebook Accounts, Facebook page na my Instagram. Mpaka sasa sijaona kambi ya kunishawishi lakini with time nitaamua na nitasema I mean mgombea ninayemkubali nitakufa naye kuona anashinda kwa kutumia a serious Social Media tools that I have in my hands kumsaidia kushinda Urais, ILA AS FOR NOW SINA KAMBI YA URAIS NA SIJAAMUA BADO!! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!! - Le Mutuz

0 comments:

Post a Comment