Monday, December 15, 2014

Libe Mwang'ombe katika picha yeye na timu yake wamefanya mnuso wa kufunga mwaka kwa Wabongo wote waishio DMV siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 Bowie, Maryland nchini Marekani.
Wakina dada wakipata picha ya pamoja kulia ni Muna aliyekua kampeni Meneja wa timu Libe.
Dj Dave akifanya vitu vyake huku akisaidia na Dj MO (hayupo pichani)
Aunty Baybe Mgaza katika picha
Rumba likiendelea.
Omby kampeni meneja msaidizi wa timu Libe.
Eric Bahunde akiwemo ndani ya nyumba.
Dj MO katika picha ya pamoja na Kaiza.
 
Dotto Malongo na mama mwenye nyumba wake.

0 comments:

Post a Comment