
Ofisa habari wa timu hiyo Asha Kigundula, alisema kikosi hicho kinashuka dimbani kikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa ligi hiyo inayoanza kutimua vumbi Ijumaa ya Desemba 26.
KIKOSI cha timu ya Friends Rangers, leo kinajitupa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni Mwembechai, kuvaana na timu ya Ndanda FC ya Mtwara, katika mchezo wa kirafiki wa kijaindaa na mzunguko wa pili wa ligi daraja la kwanza.
Msanii Diamond Platinumz ambaye ni shabiki mkubwa wa timu hiyo, pia humlipa mshahara mchezaji mahiri wa timu hiyo Haruna Moshi "Boban".
0 comments:
Post a Comment