Posted by Williammalecela.com on Sunday, December 07, 2014
BAADA ya kusambaa kwa picha nyingi mtandaoni zikimuonesha akiwa na staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Simwinga ‘Izzo Business’, mwigizaji Kajala Masanja ameibuka na kueleza kuwa ukaribu huo ni wa kikazi zaidi.
Staa wa mwigizaji Bongo Movies, Kajala Masanja.
0 comments:
Post a Comment