| Kipindi cha nyuma nakumbuka Matei Lounge alifanya Event nyingi na kubwa sana ikiwemo hii ya Mastaa kama vile Ma Miss na Ma Video queen, Matei lounge ilifanyika Party kubwa sana ya Girls Car Wash Party ambapo Kinara wa bongo Agness Masogange,Hamisa Mobeto na Miss Tz namba tatu wa 2013 na wengine kibao walihudhuria kwenye Party hiyo ambayo ilivunja historia ndani ya Dodoma na Tanzania nzima... |
Thursday, December 18, 2014
UNAUKUMBUKA ALICHOKIFANYA AGNESS MASOGANGE & HAMISA MOBETO NA MISS TANZANIA PALE MATEI LOUNGE DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment