Wednesday, December 24, 2014

Jina kamili la Marehemu ni Pendo Glory Marandu, amefariki dunia jana kwa kupigwa risasi na majambazi waliokuwa kwenye Boda boda. Marehemu alikuwa amemaliza Chuo Kiku cha Ardhi 1st Degree na sasa hivi alikuwa anamalizia Masters Nairobi/Kenya, alikuwa ameajiriwa na kampuni ya Rangi Pugu road na umri wake ulikuwa ni miaka 25 Mungu Amuweke Pema Peponi Aimeen!!  


0 comments:

Post a Comment