Msanii wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu.
Rashid Balazi akiwa na jeraha begani baada ya kutekwa na kupigwa.
Wakielezea mkasa huo wa kutisha uliojiri mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwa Wema, Mtaa wa
Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, manusura hao walisema siku ya tukio waliitwa nyumbani kwa Wema na mdogo wake aitwaye Bite kwa ajili ya kutengeneza mota ya kusukuma maji.Walisema walifika nyumbani hapo na kuangalia mota hiyo ambapo waligundua kwamba haikuwa na tatizo bali mushkeli ilikuwa kwenye bomba la maji.BOFYA KUONA PICHA ZAIDI>>>
0 comments:
Post a Comment