LEMUTUZ

Monday, December 8, 2014

WEMA HATARINI KUTOLEWA KIZAZI KISA DIAMOND

Posted by Williammalecela.com on Monday, December 08, 2014

Dada wa hiari na Mapenzi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ambaye hakutaka kuliweka wazi jina lake amevunja ukimya kutokana na kile alichokiona kuwa ni mateso ya kujitakia anayoyapata Wema Sepetu kutokana na kusumbukia Pnezi la mwanamuziki mkubwa wa Bongo fleva Nasibu Adbul maarufu kwa jina la Diamond Platinumz. 
Kupitia wakala wake wa amani dada huyo alifunguka kama ifuatavyo;

Najua wewe ni mrembo sana, una exposure kubwa na una pesa, sawa wanasema mwanamke bila mwanaume haiwezekani ila kwa mimi naona inawezekana. Jana nimekuona sehemu fulani Kinondoni Umelewa sana sana.. Hivi unadhani pombe ndio suluhisho la matatizo yako? Tena unakunywa mipombe mikali halafu mwanamke, Hicho kizazi kitapona kweli kwa staili hiyo?Nakupa siri mdogo wangu wewe una nafasi ya kuwa na mwanaume yeyete duniani, na sio uchafu wa manzese huu unaokupata paka kila kikwapa cha mwanamke. Kama ungeweza hebu ondoka Tanzania japo kwa miezi sita nenda kakae nje 
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT