Thursday, December 18, 2014
WEMA SEPETU ATOA YA MOYONI KUHUSU ZAMARADI
Posted by Williammalecela.com on Thursday, December 18, 2014
Mara baada ya mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi cha maswala filamu nichini cha TAKE ONE, Zamaradi Mtetema kuweka bandiko mtandaoni, akiwatata mashabiki na wapenzi wake, wataje mambo matano ambayo niyaukweli kuhusu yeye Zamaradi kwa jinsi wanavyomuona na atatoa zawadi kwa yule atakae patia.
Bandiko lilisema;
"If someone managed kunitajia hata FACT 5 about me za ukweli kulingana na unavyoniona... nna zawadi yako kubwa and I AM SERIOUS.... Unahisi nikoje!!? only 5 facts then ntasema nani kapatia plus mentioning my other ones... okay legooooo "
Baada ya watu kadhaa kujitokeza na kuanza kuzitaja, Muigizaji Wema Sepetu nae akaibuka na kuzitaja hizi; Unajipenda sana, Unampenda sana mwanao,Unapenda kupendeza,short tempered, na unapenda kupendwa.>
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment