video queen mashhuru wa bongo Tanzania mwanadada Agness Masogange amefunguka leo kupitia mitandao ya kijamii yakuwa kumekuwa na uvumi pamoja na tuhuma za akaunt nyingi fake za facebook, leo mrembo huyo amekana kupitia mitandao ya kijamii yakuwa hajawah kumiliki akaunt ya aina yeyote kwenye mtandao wa facebook, so kwa wale funs wake wachkue tahadhari na angalizo kwa akaunt hizo.
Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook
Labels: AGNESS MASOGANGE MAKUBWA HAYA
Related Articles
MAPENZI: Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni Sio Sehemu Nzuri za Kuchagua Mchumba
AGNESS MASOGANGE UNDER UDAKU PICHA AKIWA AMEVAA.....
AGNESS MASOGANGE; ANGALIA PICHA KALI 4 ZA MUONEKANO MPYA WA MWANADADA AGNESS MASOGANGE
HAPPY BIRTHDAY AGNESS MASOGANGE
AGNESS MASOGANGE HUA SIPENDELEI KUVAA NGUO ZA NDANI
AGNESS MASOGANGE NA PICHA ZA KUTOKA KULALA0 comments :
Post a Comment
Links to this post
Create a Link
Newer Post Home Older Post
Subscribe to: Post Comments ( Atom )
0 comments:
Post a Comment