
Msanii wa Bongo Movies, Stani Bakora na binti huyo wakiwa kwenye mahaba mazito.HII kweli ni aibu funga mwaka! Msanii wa Bongo Movies, Stani Bakora amenaswa na paparazi wetu akivunja amri ya sita ndani ya gari na dada mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, mchapo kamili huu hapa.
Tukio hilo la kinyaa lilitokea hivi karibuni maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam, karibu kabisa na maegesho ya magari yanayotumiwa na ukumbi wa burudani wa New Maisha.Chanzo makini kilichomuona msanii huyo, kilimtonya paparazi wetu siku hiyo baada ya kubaini msanii huyo amekuwa na kamchezo hako kachafu kila anapokwenda klabu hapo.
0 comments:
Post a Comment