Monday, January 5, 2015

Ndugu wa marehemu akifanya tambiko kwenye kaburi la marehemu Benadetha Steven aliyefariki dunia siku ya mwaka mpya Januari 1,2015 kitendo ambacho kiliwakera wananchi na jana mchana kuondoka eneo ala tukio kisha polisi kuwakamata ndugu wa marehemu na baadaye kuwaachia kisha kuruhusu mazishi yaendelea jana jioni  japokuwa mwitikio wa wananchi ulikuwa mdo

Ndugu wa marehemu akifanya yake kaburini,kulia ni kiboksi kilichokuwa kimebeba kuku aliyechinjwa kisha kuwekwa kwenye tumbo la marehemu na kuzikwa naye.TAZAMA VIDEO HAPA CHINI UONE TUKIO ZIMA

0 comments:

Post a Comment