Inaelezwa kuwa aliyeuawa alikuwa na tabia za wizi na mara kwa mara alikuwa anapigwa kwa tabia zake na leo zimetimia za mwizi 40
Wakazi wa Shinyanga wakiangalia mwili wa marehemu
|
Askari wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga akishirikiana na msamaria mwema kusitiri mwili wa marehemu
|
Mwili wa marehemu baada ya kusitiriwa-Picha na
|
Gari la polisi likiwasili eneo la tukio kuchukua mwili wa marehemu
|
Mamia ya wakazi wa Shinyanga wakiwa eneo la tukio
|
Askari wa jeshi la polisi wakichukua mwili wa marehemu
|
Askari polisi wakiondoka na mwili wa marehemu-
|
Askari polisi wakiondoka eneo la tukio
|
Wakazi wa Shinyanga wakiondoka eneo la tukio
|
Wakazi wa Shinyanga mjini wakiondoka eneo la tukio
|
Wananchi wakiondoka eneo la tukio baada ya polisi kuondoka na mwili wa marehemu-picha na Kadama Malunde 1
0 comments:
Post a Comment