
Askari wa Jeshi la Polisi Katika Kituo cha Korogwe akikagua Milipuko hiyo.
Kuna shehena kubwa ya milipuko ya hatari inayotumika kutengenezea Mabomu ya Kuvulia samaki na kutengenezea milipuko ya kupasulia miamba migumu imekamatwa eneo la Korogwe mchana huu wakati wa Jeshi la Polisi walipokamata Basi la KLM EXP lenye usajili wa namba T491 ARB kwa ajili ya Ukaguzi.


0 comments:
Post a Comment