Friday, January 23, 2015


Mtwara bibi alieitisha serikali kubadili gesi kuwa maji awapigia tambiko Wafaransa wa Kampuni ya Maurel et Prom baada ya drill yao kukatika mara tatu wakati wakichimba kisima cha 3,000m deep. Fasta wakajisalimisha kwa bibi awaondolee balaa....! Kweli sayansi ilianzia africa!


Gonga Like Tujuzane Mapenzi Na kupashana HabariTOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

0 comments:

Post a Comment