Posted by Williammalecela.com on Tuesday, January 06, 2015
 |
| Trafiki anamlazimisha dereva kuwa chombo kinachompima ulevi kimenasa
harufu yake kuwa amelewa wakati dereva katika maisha yake hanywi na
hajawahi kuonja hata togwa. Waliporudia mara 6 kipimo kilionyesha hivyo
hivyo baadae Trafiki wenzie waliokuwa pembeni waligundua kuwa yule
trafiki anaempima dereva ndiye kalewa hivyo harufu inayokamatwa na
kipimo ni ya trafiki huyo huyo anaepima.Walimruhusu dereva aendelee na
safari yake ya kupeleka abiria Mbinga. |
0 comments:
Post a Comment