Wednesday, January 7, 2015

Gavana wa jiji la New York Bw. Andrew Cuomo na mama yake mzazi Bi. Matilda Cuomo wakifuatilia Jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Gavana wa zamani wa New York Bw. Mario Cuomo. Mario ni baba wa Andrew amefariki siku ambayo mwanae Andrew anaapishwa kuwa Meya wa NY. Amezikwa leo.

0 comments:

Post a Comment