Wednesday, January 28, 2015



"SPIKA WA BUNGE aairisha vunge paka saa kumi baada ya kutokea vurugu ndani....MH MBATIA alileta hoja ya kujadili kukamatwa na kupigwa kwa Prof;Lipumba.......SPIKA BUNGE alitoa ufafanuzi ya kuwa ameiagiza serikali kutoa tamko kesho hivyo hoja hiyo ijadiliwe baada ya tamko Wapinzani hawakuafiki maelezo ya SPIKA na kusababisha kutokea mvurugano"

0 comments:

Post a Comment