jamani jamani sasa hawa wasanii ni laana au
kutafuta kiki au umaarufu unawasumbua, swala la
msanii kama chuchu kupiga picha kama hizi na
kuruhusu zisambae si kukosa maadili huku jamani
,
hata kama ndo umechora tatooo sio poa sana
kuwaonyesha watu amba hawahusiki kabisa,
wasanii wa bongo badilikeni
0 comments:
Post a Comment