Friday, January 23, 2015

Moja ya kopo jipya la soda litakaloanza kuuzwa hivi karibuni madukani lililotengenezwa na Kampuni ya soda ya Cocacola kama heshima kwa Super Star wote wa Tanzania wenye ushawishi mkubwa na Jamii akiwemo Le Mutuz Nation!!

Wawakilishi wa cocacola wakimkabidhi Le Mutuz zawadi ya Kopo la kwanza lenye jina lake leo at downtown bongo!!













1 comment: