matembezi ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo katika viwanja vya Mnazi mmoja mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiwepo wa UVCCM wakisimama wakati Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akitoa hutuba yake wakati wa Kilele cha matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Vijana wa UVCCM wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa Kilele cha matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Cheti Makamo Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa Pili Hassan Suluhu wakati wa matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis,[Picha na Ikulu.]
///// Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Cheti Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman kwa niaba ya Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idii kwa mchango wake mkubwa kufanikisha matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akipokea matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis,[Picha na Ikulu.]
Sunday, January 11, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment