Huddah alipost ujumbe mrefu Instagram ambao baadae aliufuta, wa kuelezea jinsi alivyokutana na jamaa huyo aitwaye King Lawrence, na kudai kuwa si yeye aliyemnunulia Range Rover na walionana siku moja tu Afrika Kusini alipomuomba kupiga nae picha ambazo ndio anazozitumia kudanganya watu kuwa Huddah ni mpenzi wake.
jamaa alipost picha na kuandika "1st Day - Can you be frank before God and declare how much I paid you for the Nite @huddahthebosschick. I called up and we negotiated the price. You came and we did our transaction. Im on my way to the hotel to try and get footage of us going into the room at nite and the time we left in the morning. By the way Huddah, what job to u do exactly? Men like me call you up, buy you a fast class ticket, book you into a good hotel and pay you. Thats what i did Bitch. Can u refund me? Bitches take cash so I don't have transfer proof bse i paid u cash. @huddahthebosschick & @zarithebosslady arent boss ladies. They post pics to attract men then fly business class to deliver their good. They both have no real jobs."SOMA ZAIDI>>>
Mdogo wangu , ndugu yangu na mmanyema mwenzangu hapo Uganda hapakufai achana napo. Inaonekana ni sehemu ya majungu , kukashfiana na kuundiana ajali na sisi Watanzania hatujazoea hivyo za kuzushiana.
ReplyDeleteAchana na wakina Zari inaonekana ni mikosi tu piga kazi mademu hawana nyota njema na wewe.