![]() |
Ahmed Mundhiri, kumbe ni mtoto wa Mbunge wa zamani wa Mchinga Mh. Mdhihiri Mdhihiri amekamatwa jana kwa kuiba account za watu mbali mbali kwenye mitandao wakiwemo Fid Q na AY hapa aliponaswa jana live!!
Ahmedi Mohammed Guys
huyo jamaa nimesoma naye olevel darasa 1 form 1-4 kiufupi namjua kupita
nnavyoweza kueleza na huyo mudhhir ni baba yake mkubwa cio mzazi n
kimsngi hyo n tabia yake lng time sana na ana zaid ya hayo cio fresh
kuyaeleza kwa ninavyomjua nashndwa kusajest adhabu coz tulimpiga sana na
aliadhbiwa sana lakini hakuweza kuacha ikafkia point tukaona may b
ulimwengu utamfunza
|
Sunday, January 18, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment