Mwigizaji wa filamu mwenye sura ya upole na umbo la Kiafrika, Kajala Masanja ni moja kati ya watu ambao majina yao yataonekana kwenye makopo mapya ya kinywaji cha Coca-cola.
Leo mchana, wawakilishi wa coca-cola walimtembelea Kajala nyumbani kwake na kumpatia zawaidi ya kinywaji hicho kikiwa kwenye chupa yenye jina lake.
Endelea kuwa nasi kujua kinanani wengine wamebahatika kwenye hili.
0 comments:
Post a Comment