Kaimu Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akiwakaribisha watoa maada mbalimbali kwenye kongamano hilo.
Mtaalamu Mshauri wa masuala ya Menejimenti wa Chuo Kikuu cha Uongozi Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAMI), Peter Kalunda Kiuluku akitoa mada kwenye kongamano la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wengine linalofanyika katika hoteli ya Naura Springs, Arusha.
Mtaalamu Mshauri wa masuala ya Biashara wa Chuo Kikuu cha Uongozi Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAMI), Christine Magunje akitoa mada kwenye kongamano la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wengine linalofanyika katika hoteli ya Naura Springs, Arusha.
Mtaalamu Mshauri wa masuala ya Biashara wa Chuo Kikuu cha Uongozi Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESAMI), L.W Malisa akifafanua jambo kwenye kongamano la Mameneja wa Mikoa na Watendaji wengine linalofanyika katika hoteli ya Naura Springs, Arusha.
Washiriki mbalimbali wakifuatilia kwa makini kongamano hilo linalofanyika katika hoteli ya Naura Springs, linafanyika kwa wiki nzima.
Washiriki mbalimbali wakifuatilia kwa makini kongamano hilo linalofanyika katika hoteli ya Naura Springs, linafanyika kwa wiki nzima.
Washiriki mbalimbali wakifuatilia kwa makini kongamano hilo linalofanyika katika hoteli ya Naura Springs, linafanyika kwa wiki nzima
0 comments:
Post a Comment