Wednesday, January 21, 2015

Wolper Asikitika Jina Lake Kutumiwa na Coca Cola Bila Hata Kushirikishwa Wala Kulipwa!!!
Kupitia ukurasa wake wa  kwenye mtandao wa INSTAGARM,  Wolper alifunguka;
“Habari Followers pamoja na wa Tanzania wote ambao naamini huwa mnaingia katika page yangu ya insta.Nimepokea zawadi hii ya Coca cola kwa siku 6 .
Na sio kwamba sikutaka kupiga picha kama wenzangu au ku post kama wenzangu,  nilikuwa natafakari kweli
kampuni kubwa ya kitaifa na kimataifa inaweza kutumia gharama kubwa kuandika majina yetu bila kuchukuwa hata nafasi na heshima kubwa tuliyonayo kutushirikisha tu katika makubaliano ya kuandika majina yetu katika makopo yao.

0 comments:

Post a Comment