![]() |
"-§-Jana jioni wakati nikiwa katika soko la Buguruni nikijinunulia mahitaji mbalimbali nilishtuka baada ya kumwona kijana huyu (mlemavu na sombaomba) ambaye alikuwa amechafuka sana na zaidi akiwa amelewa chakari huku akiendeleza dozi ya kiroba alichokuwa nacho mkononi.
Jichukulie ni wewe uko katika pitepite zako halafu unakutana na kijana huyu mlemavu na ombaomba katika hali kama hiyo halafu akakuomba umsaidie kile ulichonacho utafanyaje?"
Ficky Makame Ungempa ya kula kaka. Pombe ni stress tu kaka. Au ww hunywi vitu vikali? Hahaah haah haah sema tu ulitamani hicho alichoshika! Salvatory Mkami
- Noor Hassan HAYA YOTE YANASABABISHWA NA SERIKALI YA CCM YA KUTOWAJALI WALEMAVU








0 comments:
Post a Comment