Wednesday, January 14, 2015

@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- OK finally hali ya mama yangu imekuwa sawa namshukuru Mungu na hasa madaktari zaidi, nimejifunza one lesson my impact for the whole picture imesaidia sana for my Mother quick recovery
so from now on nitakuwa ninakuja mara kwa mara kumuona no question about it, naomba kuwashukuru wale wato nisiowajua lakini tumekutana kwenye Social Media tu lakini wamepa misaada ya ajabu, nakushukuru sana Brother Joseph Lugakingira not a Bilionea lakini naheshimu sana mchango wako mkuu Salute!!........thank U my Billioneaz friends Mr. Seki, Davis Mosha, Mzee Mengi, Mzamiri, Rajabu Mwami Le Mucongoz, Fariah,,,  na thank U my Super Star friends Jokate, Rita Paulsen and Aunt Ezekiel thank U again......jamani nawashukuru sana wananchi wote kwa yote my God bless U all!! - Le Mutuz 


@ Live at Downtown Tunduma:- hapa ndio nyumbani kwa Mama yangu leo amefanyiwa check up na madaktari bingwa she is fine and I have peace now...namhamishia Mbeya kwa mapumziko kidogo kama Wiki mbili wakati nyumba inafanyiwa ukarabati and then atarudi kwake....again NAWASHUKURU WOTE NDUG ZANGU MLIONIOMBEA HASA YEYE HATA BILA KUMJUA MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI! - le Mutuz

0 comments:

Post a Comment