![]() |
| The Six months of renovation of the place live!! |
![]() |
| Now after the completion of the renovation and moved in tayari I live here now this is my new home!! |
- Livin Joseph Trader, Amina J. Mkwizu, Anthony Maswi and 6203 others like this.
- Edna Boimanda Hoongera sana, bro
- Yusuph N.Tugutu Aiseee. Nitafutie na mimi apartment ninunue ....maisha ya apartment mazuri sana.....
- Mariyam Nassor Hongera sana Bro nijambo la kumshkuru mungu saaaana kunawatu wanauza nyumba zao tz wanakimbilia majuu kuutafuta maisha naouko wanapigika si mchezo wanamaliza pesa zao zote walizo toka nazo apa tz uko wanakosa hata pesa ya kula sanasana ukikutana nae njiani mkisalimiana mkianza kuzungumza akijuwa tu unatokea tz basi nae katokea uku mmm istorr haziish tayari umekuwa ndugu yake kosa mwonyeshe hoteli uliyo fikia basi anakuwa mgeni wako kila siku mpaka unaondoka na siku unaondoka basi lazima akulilie shida wallay ukimwambia rudi hom tz hataki anafkiria akirudi ataishi wapi nyumba kaisha uza akija hana kitu watu watamcheka sasa inabidi akaze buti ukouko nauku anaskia rafki yake alie kuwa hana kitu alikuwa tu muuza mkaa sasa maisha yake ni mazuri anqnyumba anagari mtanzania uyo yeye alie kimbilia majuu hana kitu mpaka hela ya kula hana pakulala kwake tabu kweli kaka hongera sana kwa kujenga nyumba akili yako ipo safi sana ulifkiria mbali sana kwenu ni kwenu tu maisha ukiyashidwa kwenu hata uende wapi hutofahanikiwa
- Pendo Jones Hataree Le Mutuz Baharia
- ELinaike Dube Good
- Maria B Malongo Good jobb
- Alfred John Nchimbi That is good my friend William. Angalau unatoa picha kwa ndugu zetu wanaotamani kurudi nyumbani Tanzania lakini wamegubikwa na hofu kuwa every thing is now possible in Dar es Salaam. Juhudi zako tu.
- Honey Ahmed Hongera sana mpnz
- Amina J. Mkwizu Hongera sana
- Sauda Mzuzuri ongela umejitaidi sanaaa






































0 comments:
Post a Comment