Monday, January 12, 2015


@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:-  Shetani never gives up in attacking you na hasa akijua kwamba una Mungu in you, atakushambulia kwa njia mbali mbali hasa ya kuwatumia watu wa mbali, akishindwa ataanza kuwatumia watu karibu zaidi,
kama ndugu zako wa damu hata wazazi ikibidi, akishindwa now ataaingia kwenye mke wako na watoto, now kumbuka kila unapomshinda atakuja na mbinu mpya ugly kuliko aliyotumia last time na kwa vile he is a master of deceiving atakuletea shambulio ambalo kwa sura litaonekana zito na la ajabu na infact in some cases la kuhuzunisha na hata kusikitisha, lakini ukweli ni kwamba ni shetani yule yule muongo, mnafiki, mzandiki, mwizi, na kibaya kuliko yote ni MBINAFSI shetani always thinks of himself na akimpata bina adam mjinga anambadili na kuwa kama yeye, bin adam yule atahangaika kila kona kutafuta visingizio vya kuhalahisha UBINAFSI wake, atasingizia ubaya kila mtu asiyehusika kumbe tatizo ni yeye mwenyewe anasumbuliwa tu na shetani, na uzuri wa Mungu ni mmoja akishamuamini bin adam huwa anamruhusu shetani kumfanyia lolote analotaka yule binadam sasa kwa vile yule bin adam ana Mungu, hakuna lolote litakalompata. Kumbuka kadri maisha yako yanavyozidi kuwa mazuri na makubwa na mashambulizi ya shetani lazima yabadilike kulingana na status yako!!, yatakuwa makubwa na ya kutisha!!
- BUT UKISIMAMA IMARA NA UKAMPUUZA SHETANI AS I ALWAYS DO HUWA HANA UJANJA WALA NGUVU YOYOTE SHETANI NI MJINGA, MNAFIKI, MUONGO, MWIZI NA MBINAFSI NA HAWEZI KUFANYA LOLOTE ZAIDI YA VITISHO TU KAMA VYA FISI, IN MY LIFE I REFUSED TO BE BULLIED BY THE DEVIL NINAMJUA MUNGU SO NINAPOONA DALILI TU ZA SHETANI NINAJUA MARA MOJA NA HUWA SIMPI NAFASI NEVER I ALWAYS STAND FIRM CAUSE I HAVE GOD IN ME, NA FOR THAT SIJAWAHI KUSHINDWA VITA HATA MOJA IN LIFE AGAINST SHETANI SIKU ZOTE HUWA NINAMSHINDA NA INFACT I ALWAYS GET THE LAST LAUGH!! HAHAHAHAHAHAHAHAHA!!
- LE MUTUZ NATION BIG SHOW


1 comment: