Thursday, January 1, 2015

Watoto 3 waliozaliwa mapacha na msichana mdogo Halima asiye na kazi na akakimbiwa na Baba yao huku mmoja akiwa mgonjwa sana, she came to me for help I worked so hard kuchangisha na binafsi mpaka kumsaidia kwenda India kwa matibabu. Huyo wa kati kati ndiye aliyekuwa mgonjwa alizaliwa na sehemu mbili za kutoa haja kubwa, I hope kwamba one day Mungu akinhukumu mapungufu yangu atakumbuka kwamba pamoja na unyonge wangu sometimes nilikuwa nasaidia watu wake wasio na uwezo. - Le Mutuz

Huyu ndiye Halima Sanga mama wa watoto hawa, najua kwamba ana mapungufu mengi sana na ndiye aliyemtuhumu Mbunge mmmoja maarufu wa CCM, lakini in this case niliwaangalia watoto not her na I hope Mungu atamsaidia popote alipo ili aweze kuachana na mapungufu yake mengi ya kujitakia zaidi.

Mama Ntilie at Gerezani nilimsaidia as much as I could baada ya kugundua biashara yake nzima kwa siku ni Shillingi Elfu Ishirini na tano tu, I hope msaada niliompa umemsaidia jpo kumpeleka mbele kidogo!! - Le Mutuz

0 comments:

Post a Comment