Monday, January 5, 2015
MAKAMU WA PILI WA RAIS BALOZI SEIF ALI IDDI AZINDUA BARABARA YA MKAPA AWAMU YA PILI
Posted by Williammalecela.com on Monday, January 05, 2015
Makamu wa Pili wa Rais Balozi Zanzibar Seif Ali Iddi akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Barabara ya Amani- Mtoni kwa awamu ya pili ya ujenzi wake katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar. (kushoto alievaa kofia ya pama) Katibu Mkuu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Malik Akili. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua Barabara ya Mkapa iliopo Amani-Mtoni ikiwa ni shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar (kushoto) Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Baandhi ya wananchi na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Barabara ya Mkapa iliopo Amani-Mtoni Mjini Zanzibar.
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji akitoa nasaha fupi na kumkaribisha Balozi Seif Ali Iddi kutoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa Barabara ya Mkapa iliopo Amani-Mtoni Mjini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akihutubia katika Sherehe ya uzinduzi wa Barabara ya Amani-Mtoni ikiwa ni miongoni wa shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Barabara ya Amani-Mtoni iliyozinduliwa na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment