Martha Amos Cherehani, akisalimiana na Speaker wa Bunge la Marekani, Mhe. John Boehner, siku ya Jumanne January 20, 2015 siku Rais Barack Obama
alipotoa hotuba ya State Of The Union na Martha alikuwa mgeni mwaalikwa, kuwaakilisha wanafunzi wenzake kwenye mkutano huo wa 114 wa bunge la Marekani. Martha ni mtoto wa wanaDiaspora baba na mama Watanzania wanaoishi DMV.

0 comments:
Post a Comment