Posted by Williammalecela.com on Friday, January 23, 2015
 |
| Kama
ndo machine aliyo nunua safari hii basi katisha aisee maana hii ni one
of the most expensive and luxury cars around na hela yake ni ndefu sana.
It's confirmed gari kanunUa na soon mtaiona mitaa ya kati. Davis
yaelekea ni mpenzi sana wa magari mazuri na of course uwezo wa kuyanunua
anao cause he works so damn hard. Hongera sana Davis can't wait to see
this new toy in Bongo. Hii ndo inaitwa "Tumia Pesa Ikuzoeee" |
 |
Hi ni gari nyingine aina ya Lamborghini anayo miliki mfanyabiashara Davis Mosha huko Bongo.
|
0 comments:
Post a Comment