Posted by Williammalecela.com on Thursday, January 08, 2015
 |
| Mheshimiwa Mbunge Ridhiwani akipata maelezo ya ujenzi wa Maabara ya Shule ya Sekondari ya Kiwangwa jimboni Chalinze leo live!! |
 |
| Kwenye Mkutano wa hadhara Mbunge wa Chalinze CCM Mh. Ridhiwani akipokea Kadi ya Mwenyekiti wa Chadema wa Kata ya Kiwangwa aliyeamua kuvuka na kurudi CCM live leo!! |
0 comments:
Post a Comment