Thursday, January 15, 2015

Le Mutuz testing meza ya ajabu inayoitwa "Gosol Table" imetengenezwa maalum na American Engineering Group Inc. ni meza iinayotumia jua kutengeneza umeme ambao una nguvu ya wewe kutumia kwa ajili ya kucharge simu 10, Laptop au Computer, na pia ni meza inatoa kivuli pia kwa wakati huo huo, meza hii ya ajabu ni a Custom made by order only na inauzwa kwa bei ndogo ya USD $ 7,000 ukiitaka call this number at anytime +255 22 2775 747!


0 comments:

Post a Comment