Haya ndo maisha ya kumnayanyasa mkeo/mpenzi wako kila wakati yanapoishia! Huyu dada kauwawa na mumewe leo Morogoro kisa kaenda kusuka bila ruksa ya mumewe!!
These how violence relationshop life ending!!
Utakuta mwanamke anang'ang'ania kukaa na mwanamme anamdunda kama punchbag na ukiuliza kisa, atakwambia nikiachika nitachekwa, nitadharauliwa na blah blah nyingi!! most of the time huu ndo unakuwa mwisho wake! For what?!? Kuna wanaume na wanawake billions njee huko kha!!

0 comments:
Post a Comment